Jifunze njia za kufikia uhuru wa kifedha ndani ya siku 69 zijazo
Jiunge na Freedom Inner Circle ujifunze mfumo wa kujenga uhuru wako wa fedha step by step.
Jifunze njia za kufikia uhuru wa kifedha ndani ya siku 69 zijazo
Jiunge na Freedom Inner Circle ujifunze mfumo wa kujenga uhuru wako wa fedha step by step.
Ukijiunga na Freedom Inner Circle.
Hautabaki tena ukijiuliza “Nianzie wapi?”
Utajifunza kuona opportunities, kujenga cashflow, kuuza, kutumia internet na personal brand, na kugeuza skills, ideas au attention kuwa kipato.
Goal: kutoka kusubiri pesa → kuwa mtu anayejua namna ya kuitengeneza.
Kutengeneza pesa pekee haitoshi.
Utajifunza namna ya kufikiria kama investor na kuelewa opportunities kama:
Crypto, Stocks, Gold, Bonds na Real Estate.
Pamoja na risk management, capital protection na kufanya maamuzi bora zaidi ya uwekezaji.
Goal: kutoka kutumia pesa tu → kujenga assets na wealth.
Zimetengenezwa kwa huu mfumo.
Ndani ya deal moja.
Bila Connection hautoboi!
Utajenga uwezo wa:
Hizi ni skills ambazo unaweza kutumia kwenye biashara yoyote, industry yoyote na hatua yoyote ya maisha yako.
Goal: usitegemee bahati, uwe na uwezo wa kutengeneza opportunities zako mwenyewe.
Utapata access ya private community yenye watu serious kuhusu:
Pesa, biashara, investments na growth.
Kupitia community ya Freedom Inner Circle, unaweza kukutana na:
Goal: kutoka kufanya kila kitu peke yako → kuwa ndani ya network yenye value.
Mwisho wa yote, goal sio course.
Goal ni UHURU WA KIFEDHA.
Uhuru wa:
•. Kuamua unataka kufanya nini na muda wako.
Programu nyingi zinakuingiza kwenye group chat yenye watu 500 halafu zinaita hiyo “coaching.” Freedom Inner Circle ni tofauti unapata pia access ya 1-1 mentorship ya moja kwa moja.
Kabisa! Freedom Inner Circle Inafaa kwa mtu yeyote, bila kujali jinsia, mwenye nia ya kujifunza na kubadilisha maisha yake.
Tuna idadi kubwa sana ya wanawake ndani ya mtandao wetu, na baadhi ya mafanikio makubwa zaidi tuliyowahi kushuhudia yametoka kwa wanawake.
Gharama ya kujiunga na Freedom Inner Circle ni 299,000 Tshs kwa mwaka mzima.
Hapana.
Ukiwa ndani ya Freedom Inner Circle, tunakufundisha jinsi ya kubadilisha muda wako kuwa pesa, jambo ambalo linaweza kuanza bila mtaji.
Pia tunakufundisha jinsi ya kutumia pesa uliyonayo kutengeneza pesa zaidi.
Lengo la muda mrefu ni kukusaidia kujenga ujuzi wote huo kwa pamoja ili uweze kuelekea kwenye uhuru wa kweli wa kifedha.
Mtu yeyote, wa umri wowote, mwenye smartphone anaweza kujifunza namna ya kutengeneza kipato.
Hata hivyo, tunashauri mtu yeyote mwenye umri chini ya miaka 18 kuzungumza na mzazi au mlezi kabla ya kujiunga na mtandao.
Badala ya kutumia muda na pesa kwenye video games mpya ambazo baada ya wiki moja tayari zimekuchosha, unaweza kujiunga na Freedom Inner Circle, kuanza kujenga biashara yako na kuwashangaza marafiki na familia yako kwa kuwa kijana anayepiga hatua kwenye maisha halisi.
Wanafunzi wengi huanza kuona maendeleo ya awali ndani ya wiki chache za kwanza.
Hapana kabisa.
Tunafundisha watu ambao wanaanza wakiwa na ZERO EXPERIENCE.
Umejiunga ili ujifunze kutoka kwetu. Unachotakiwa kufanya ni kufuata mafunzo hatua kwa hatua pamoja na mwongozo unaopewa.
Hata kama ni mara yako ya kwanza kabisa kujaribu kutengeneza pesa, utafundishwa kuanzia msingi hadi kuwa uhuru.
Ndiyo.
Mbinu tunazofundisha zimeundwa ili uweze kuzitekeleza kwa haraka. Unachohitaji ni angalau dakika 30 kwa siku kujifunza na kutekeleza kile ulichojifunza.
Huhitaji kuwa na siku nzima. Kinachohitajika ni consistency.
Hapana kabisa!
Ndani ya Freedom Inner Circle tunafundisha namna ya kutengeneza kipato kupitia mtandao, hivyo haijalishi unaishi nchi gani.
Location yako inaweza kubadilisha tu aina ya pesa unayolipwa lakini fursa unazoweza kufikia ni za kimataifa.
Global income. Popote ulipo.
Ndiyo!
Ndiyo, mara tu unapojiunga na Freedom Inner Circle , unapata access ya kozi zetu zote papo hapo. Pia utapata access ya live calls zetu za saa 24/7 pamoja na nafasi ya kujenga connection na watu wengine ndani ya online community yetu.
Kuna watu ndani ya community ambao wanapiga pesa sasa hivi! Kuna live call inaendelea hata muda huu! Jiunge nao leo na uanze safari yako ya kuelekea uhuru wa kifedha mara moja.
Jaza form hapa chini, na timu yetu itawasiliana nawe.
Kama unajua una uwezo mkubwa lakini maisha yako hayalingani na kiwango hicho basi hii ni kwa ajili yako.