1-on-1 Mentorship na Mussa Baba's

 

Fikiri Vizuri. Songa Kimkakati. Jenga Maisha Unayotaka.

Kama unajua una uwezo mkubwa lakini maisha yako hayalingani na kiwango hicho hii ni kwa ajili yako.


Hii siyo “motivation.”
Ni mfumo wa kukutoa pale ulipo na kukupeleka pale unapotaka kufika kwa uwazi, mpango, na uwajibikaji wa kweli.


Ni ushauri binafsi wa 1-on-1 kwa kijana na mjasiriamali unayetaka:

  • Mwelekeo wa wazi wa maisha na biashara
  • Mpango wa vitendo unaotekelezeka mara moja
  • Maamuzi bora yanayoleta matokeo
  • Nidhamu na uwajibikaji wa kweli
  • Kasi ya ukuaji


Tatizo Halisi

Watu wengi:

  • Wana ndoto kubwa lakini hawana ramani
  • Wanajua wafanye nini, lakini hawafanyi
  • Wamejaa mawazo lakini hayatekelezwi
  • Wanazunguka mwaka baada ya mwaka bila mabadiliko


Tatizo sio akili.


Tatizo ni mwelekeo, mfumo, na uwajibikaji.

Hapo ndipo mentorship hii inaingia.


Utapata Nini Ndani ya Mentorship Hii?

Kupitia vikao binafsi nitakusaidia:

  • Kuweka mwelekeo ulio wazi wa maisha yako
  • Kujenga ramani ya hatua (Action Plan) ya miezi ijayo
  • Kubadili jinsi unavyofikiri na kufanya maamuzi
  • Kuvunja tabia zinazokuzuia
  • Kujenga mfumo wa kusonga bila kusimama


Lengo ni moja:
Kukutoa kwenye mawazo na kukupeleka kwenye matokeo.


Bonus Unazopata

Ukikubaliwa utapata pia:

  • 📘 Personal Action Blueprint – mpango wako binafsi wa maisha/biashara
  • 🧭 Mfumo wa kufuatilia maendeleo yako
  • 💬 Uwazi wa moja kwa moja bila kutiwa chumvi
  • 🔁 Kikao cha marekebisho (review) ili kuona maendeleo yako


Hii si mentorship ya kundi.
Ni kikao binafsi kinachojengwa kwa ajili yako.


Jinsi Inavyofanya Kazi

  1. Unaomba kwa kujaza fomu
  2. Nachambua malengo na hali yako
  3. Ukikubaliwa, tunapanga kikao cha kwanza
  4. Tunabuni ramani yako ya vitendo
  5. Unaanza kusonga kwa mwelekeo mpya


Ninakubali idadi ndogo tu ya watu kwa wakati mmoja.
Hii inanipa uwezo wa kukupa umakini wa kweli.


Kwa Nini Mimi?

Sikufundishi kwa nadharia pekee.
Nitakupa uzoefu wa kujenga, kushindwa, kusimama tena, na kushinda.

Nitakuambia ukweli unaohitaji kusikia, sio unaotaka kusikia.


Chukua Hatua Sasa


Omba 1-on-1 Mentorship

Gharama ni TZS 1,000,000
Nafasi ni chache. Napokea mtu mmoja tu kila mwezi.

Maisha unayotaka hayaji kwa bahati.
Yanajengwa kwa maamuzi sahihi na hatua za makusudi.

Usisogeze uamuzi huu tena.
Hatua yako inayofuata inaanza hapa.

Apply Hapa

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kuhusu "Freedom Inner Circle" Community.

Kwa nini hii ni tofauti na programu nyingine zote?

Programu nyingi zinakuingiza kwenye group chat yenye watu 500 halafu zinaita hiyo “coaching.” Freedom Inner Circle ni tofauti unapata pia access ya 1-1 mentorship ya moja kwa moja.

Je, programu hii inafaa kwa wanawake?

Kabisa! Freedom Inner Circle Inafaa kwa mtu yeyote, bila kujali jinsia, mwenye nia ya kujifunza na kubadilisha maisha yake.

Tuna idadi kubwa sana ya wanawake ndani ya mtandao wetu, na baadhi ya mafanikio makubwa zaidi tuliyowahi kushuhudia yametoka kwa wanawake.

Gharama ya kujiunga ni kiasi gani?

Gharama ya kujiunga na Freedom Inner Circle ni 299,000 Tshs kwa mwaka mzima.

Je, nahitaji kuwa na mtaji baada ya kujiunga?

Hapana.

Ukiwa ndani ya Freedom Inner Circle, tunakufundisha jinsi ya kubadilisha muda wako kuwa pesa, jambo ambalo linaweza kuanza bila mtaji.

Pia tunakufundisha jinsi ya kutumia pesa uliyonayo kutengeneza pesa zaidi.

Lengo la muda mrefu ni kukusaidia kujenga ujuzi wote huo kwa pamoja ili uweze kuelekea kwenye uhuru wa kweli wa kifedha.

Kweli umri wangu haujalishi?

Mtu yeyote, wa umri wowote, mwenye smartphone anaweza kujifunza namna ya kutengeneza kipato.

Hata hivyo, tunashauri mtu yeyote mwenye umri chini ya miaka 18 kuzungumza na mzazi au mlezi kabla ya kujiunga na mtandao.

Badala ya kutumia muda na pesa kwenye video games mpya ambazo baada ya wiki moja tayari zimekuchosha, unaweza kujiunga na Freedom Inner Circle, kuanza kujenga biashara yako na kuwashangaza marafiki na familia yako kwa kuwa kijana anayepiga hatua kwenye maisha halisi.

Nitachukua muda gani kuanza kuona matokeo?

Wanafunzi wengi huanza kuona maendeleo ya awali ndani ya wiki chache za kwanza.

Sijui kabisa skills mnazofundisha. Je, hilo ni tatizo?

Hapana kabisa.

Tunafundisha watu ambao wanaanza wakiwa na ZERO EXPERIENCE.

Umejiunga ili ujifunze kutoka kwetu. Unachotakiwa kufanya ni kufuata mafunzo hatua kwa hatua pamoja na mwongozo unaopewa.

Hata kama ni mara yako ya kwanza kabisa kujaribu kutengeneza pesa, utafundishwa kuanzia msingi hadi kuwa uhuru.

Sina muda mwingi. Bado naweza kujiunga?

Ndiyo.

Mbinu tunazofundisha zimeundwa ili uweze kuzitekeleza kwa haraka. Unachohitaji ni angalau dakika 30 kwa siku kujifunza na kutekeleza kile ulichojifunza.

Huhitaji kuwa na siku nzima. Kinachohitajika ni consistency.

Ninaishi nchi nyingine. Je, hilo ni tatizo?

Hapana kabisa!

Ndani ya Freedom Inner Circle tunafundisha namna ya kutengeneza kipato kupitia mtandao, hivyo haijalishi unaishi nchi gani.

Location yako inaweza kubadilisha tu aina ya pesa unayolipwa lakini fursa unazoweza kufikia ni za kimataifa.

Global income. Popote ulipo.

Je, nikipata membership nitapata access ya mafunzo yote?

Ndiyo!

Ndiyo, mara tu unapojiunga na Freedom Inner Circle , unapata access ya kozi zetu zote papo hapo. Pia utapata access ya live calls zetu za saa 24/7 pamoja na nafasi ya kujenga connection na watu wengine ndani ya online community yetu.

Kuna watu ndani ya community ambao wanapiga pesa sasa hivi! Kuna live call inaendelea hata muda huu! Jiunge nao leo na uanze safari yako ya kuelekea uhuru wa kifedha mara moja.

Bado una maswali?

Jaza form hapa chini, na timu yetu itawasiliana nawe.