Watu wengi wanaamini pesa inapatikana kwa kufanya kazi kwa bidii tu. Lakini kuna ukweli ambao haukufundishwa shuleni:
Kama hakuna anayekuona, hakuna atakayekulipa.
Unaweza kuwa na wazo bora.
Unaweza kuwa na biashara yenye uwezo mkubwa.
Unaweza kuwa na kipaji cha ajabu.
Lakini kama uko kimya, dunia itakupita.
Katika kitabu Siri 69 za Kupata Pesa, mojawapo ya siri za mwanzo kabisa ni hii:
Attention (Kuonekana) ni Pesa.
Dunia ya leo inalipa wanaoonekana.
Wale unaowaona kila siku kwenye mitandao, YouTube, TikTok, Instagram. Hawa wote si lazima wawe bora kuliko wewe. Wao wameelewa mchezo mmoja muhimu:
Macho ya watu ni soko.
Makampuni hutumia mabilioni kwenye matangazo.
Wasanii hutengeneza hadithi.
Wajasiriamali hutengeneza sauti zao mtandaoni.
Kwa nini?
Kwa sababu bidhaa bila attention ni bure.
Watu wengi wanaogopa kuonekana. Wanasema:
“Watanicheka.”
“Watanihukumu.”
Lakini ukweli mchungu ni huu:
Wanaokuhukumu mara nyingi wanaishi maisha ambayo wewe hutaki kuyaishi.
Mtu anayejenga hana muda wa kukuhukumu.
Ukikaa kimya, dunia itakupita.
Ukizungumza, dunia itakusikia.
Na duniani, anayesikika… ndiye analipwa.
Hii ni siri moja tu kati ya 69 zilizo ndani ya kitabu hiki.
Kila siri imeandikwa kukutoa kwenye fikra za kawaida na kukuingiza kwenye fikra za mmiliki, si mtumwa wa mshahara.
Kama siri hii moja imekugusa, jiulize:
Ni mambo mangapi mengine muhimu sijawahi kufundishwa kuhusu pesa?
Jibu liko ndani ya kitabu.
👉 Nunua sasa Siri 69 za Kupata Pesa kupitia link hii :
Siri 69 za Kupata Pesa
Usifunge macho.
Fungua akili.
Na anza kucheza mchezo wa pesa kwa faida yako.
0 comments