Skip to product information
📘SIRI 69 ZA KUPATA PESA

📘SIRI 69 ZA KUPATA PESA

Regular price  100,000 TZS Sale price  50,000 TZS

21 reviews

Nunua sasa hivi

Je, umechoka kuishi maisha ya kusubiri?

Kusubiri kazi.

Kusubiri mshahara.

Kusubiri bahati.

Kusubiri “siku moja” mambo yabadilike.

Ukweli mchungu ni huu: HAKUNA MTU ATAKAYEKUJA KUKUOKOA.

Lakini kuna kitu kimoja kinachoweza kukuokoa leo "MAARIFA SAHIHI".

Na ndiyo maana kitabu hiki kipo.

Kitabu Hiki Sio Cha Kukuchezea Hisia

Ni cha kubadilisha mwelekeo wa maisha yako.

Ndani ya Siri 69 Za Kupata Pesa utajifunza:

  • Ujuzi unaolipa milele hata bila mtaji
  • Jinsi ya kubadilisha simu yako kuwa mashine ya mapato
  • Jinsi ya kujenga mfumo wa pesa badala ya kutegemea bahati
  • Kwa nini kuonekana (attention) ni pesa
  • Kwa nini watu hununua matokeo, sio maelezo
  • Namna ya kufikiria kama mmiliki, si mtumwa wa mshahara
  • Jinsi ya kuwa wa kwanza kwenye ukoo wako kubadili historia

Hizi sio motivasheni za kupapasa moyo.

Ni ramani ya vitendo ya kutoka pale ulipo kwenda pale unapotaka kufika.

Nunua sasa hivi
Kitabu Hiki Ni Cha Nani?
  • Kama una akili, lakini pesa zako hazilingani na uwezo wako
  • Kama umechoka kuambiwa “subiri” wakati miaka inapita
  • Kama una ndoto, lakini huna mfumo wa kuifikia
  • Kama unataka uhuru wa muda, mahali na kifedha

Basi kitabu hiki kimeandikwa kwa ajili yako.

Utapata Nini Ndani ya Kurasa Hizi?

📌 Siri 69 zilizopangwa kimantiki

📌 Misingi ya pesa ambayo hukufundishwa shuleni

📌 Mawazo yatakayokulazimisha kubadilika

📌 Mwongozo wa kujenga akili ya mmiliki

📌 Msukumo wa kuchukua hatua sasa, si kesho

📌 Mabadiliko ya mtazamo kuhusu pesa

📌 Mfumo wa kufikiri wa tajiri

📌 Mwongozo wa vitendo wa kuanza leo

📌 Nguvu ya kujenga uhuru wa muda, mahali, na kifedha


Hiki sio kitabu cha kusoma mara moja kisha kusahau.

Ni mwongozo wa maisha wa kurudia kila unapokwama.

Regular price  100,000 TZS Sale price  50,000 TZS
Nunua sasa hivi

Uhakika Wako

Ikiwa utasoma kitabu hiki kwa makini,

ukachagua kuchukua hatua hata ndogo kila siku,

hauwezi kubaki mtu yuleyule.

Ama mtazamo wako utabadilika.

Ama maamuzi yako yatabadilika.

Ama mazingira yako yatabadilika.

Na pindi hayo yakibadilika-maisha yako yatafuata.

Chagua Leo

Una chaguo mbili:

  1. Ufunge ukurasa huu na urudi kwenye maisha ya jana
  2. Uchukue hatua na uanze safari ya kubadili historia yako

Hakuna kati kati.

Nunua sasa hivi

Maswali ya Muhimu

1. Kitabu hiki ni cha aina gani?

Hiki ni kitabu cha vitendo kuhusu pesa, biashara, akili ya mafanikio na uhuru wa kifedha. Hakikupi ndoto-kinakupa mfumo wa kufikiria, kuchukua hatua, na kujenga mapato halisi.

2. Je, kitabu hiki ni kwa ajili ya wafanyabiashara tu?

Hapana,Ni kwa:

  • Wanafunzi
  • Wafanyakazi
  • Wajasiriamali
  • Watu wanaotaka kuanza chochote
  • Mtu yeyote anayetaka kubadilisha hali yake ya kifedha

Kama unataka pesa, uhuru, na maisha bora-kiko kwa ajili yako.

3. Je, nahitaji mtaji mkubwa kuanza?

Hapana.

Kitabu hiki kinakufundisha jinsi ya kuanza hata ukiwa na:

  • Simu tu
  • Akili timamu
  • Muda ( Dakika 30+ kwa siku )

Utajifunza jinsi ya kutumia kile ulicho nacho sasa kuanza safari ya mapato.

4. Nikipata kitabu, nitapata matokeo mara moja?

Kitabu hakifanyi kazi kwa niaba yako.

Lakini ukitumia unachojifunza, utaanza kuona mabadiliko kwenye:

  • Namna unavyofikiria
  • Maamuzi unayochukua
  • Njia unazotafuta pesa
  • Ujasiri wako wa kuanza

Matokeo yanategemea hatua zako.

5. Kitabu hiki kinatofautianaje na vingine vya motivasheni?

Hiki sio cha kukupa hamasa ya muda mfupi.

Ni cha kukupa:

  • Mfumo wa kufikiri
  • Msingi wa pesa
  • Sheria za maisha halisi
  • Mwelekeo wa vitendo

Hakikuambii “unaweza.”

Kinakuambia “fanya hivi.”

6. Je, nitakipata kwa mfumo gani?

Utapokea kitabu kwa mfumo wa Soft Copy (PDF).

Baada ya malipo, kitapakuliwa mara moja kwenye kifaa chako-simu, tablet au kompyuta.

7. Naweza kukisoma kwenye simu?

Ndiyo.

Kimeandaliwa kusomeka vizuri kwenye simu, tablet, au kompyuta.

8. Je, kitabu hiki kinaendana na mazingira ya Tanzania?

Ndiyo.

Kimeandikwa kwa muktadha wa maisha halisi ya Mtanzania,

hakizungumzii ndoto za mbali, kinazungumza na hali uliyonayo sasa.

9. Nikishanunua, nitapata msaada wowote zaidi?

Ndani ya kitabu utapata mwaliko wa kujiunga na group ya watu wanaojifunza na kukua pamoja.

Pia kuna njia za kupata mafunzo ya ziada na ufafanuzi wa kina zaidi.

Hauko peke yako kwenye safari hii.

10. Nahitaji kuwa na uzoefu wowote?

Hapana, hauhitaji uzefu wowote wala mtaji. Muhimu ujue kusoma na kuandika.

Nunua sasa hivi
Regular price  100,000 TZS Sale price  50,000 TZS
Nunua sasa hivi

You may also like