JINSI YA KUFANYA MALIPO NA KUJIUNGA NA "FREEDOM INNER CIRCLE"

Gharama;- 299,000/-


Namba ya malipošŸ‘‡

*Namba ni ya Mpesa (Vodacom) na inapokea kutoka mitandao yote*

Ā Mpesa (Vodacom) Lipa Namba;- 355988647

Jina;- Lipa Mussa Baba's

Ā 

Baada ya kufanya malipo nitumie ujumbe wa uthibitisho wa muamala kwa WhatsApp: 0678615696

Ā 

Utakapolipia na kuthibitishwa.

Utapewa access ya kujiunga na Freedom Inner Circle.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kuhusu "Freedom Inner Circle" Community.

Kwa nini hii ni tofauti na programu nyingine zote?

Programu nyingi zinakuingiza kwenye group chat yenye watu 500 halafu zinaita hiyo ā€œcoaching.ā€ Freedom Inner Circle ni tofauti unapata pia access ya 1-1 mentorship ya moja kwa moja.

Je, programu hii inafaa kwa wanawake?

Kabisa! Freedom Inner Circle Inafaa kwa mtu yeyote, bila kujali jinsia, mwenye nia ya kujifunza na kubadilisha maisha yake.

Tuna idadi kubwa sana ya wanawake ndani ya mtandao wetu, na baadhi ya mafanikio makubwa zaidi tuliyowahi kushuhudia yametoka kwa wanawake.

Gharama ya kujiunga ni kiasi gani?

Gharama ya kujiunga na Freedom Inner Circle ni 299,000 Tshs kwa mwaka mzima.

Je, nahitaji kuwa na mtaji baada ya kujiunga?

Hapana.

Ukiwa ndani ya Freedom Inner Circle, tunakufundisha jinsi ya kubadilisha muda wako kuwa pesa, jambo ambalo linaweza kuanza bila mtaji.

Pia tunakufundisha jinsi ya kutumia pesa uliyonayo kutengeneza pesa zaidi.

Lengo la muda mrefu ni kukusaidia kujenga ujuzi wote huo kwa pamoja ili uweze kuelekea kwenye uhuru wa kweli wa kifedha.

Kweli umri wangu haujalishi?

Mtu yeyote, wa umri wowote, mwenye smartphone anaweza kujifunza namna ya kutengeneza kipato.

Hata hivyo, tunashauri mtu yeyote mwenye umri chini ya miaka 18 kuzungumza na mzazi au mlezi kabla ya kujiunga na mtandao.

Badala ya kutumia muda na pesa kwenye video games mpya ambazo baada ya wiki moja tayari zimekuchosha, unaweza kujiunga na Freedom Inner Circle, kuanza kujenga biashara yako na kuwashangaza marafiki na familia yako kwa kuwa kijana anayepiga hatua kwenye maisha halisi.

Nitachukua muda gani kuanza kuona matokeo?

Wanafunzi wengi huanza kuona maendeleo ya awali ndani ya wiki chache za kwanza.

Sijui kabisa skills mnazofundisha. Je, hilo ni tatizo?

Hapana kabisa.

Tunafundisha watu ambao wanaanza wakiwa na ZERO EXPERIENCE.

Umejiunga ili ujifunze kutoka kwetu. Unachotakiwa kufanya ni kufuata mafunzo hatua kwa hatua pamoja na mwongozo unaopewa.

Hata kama ni mara yako ya kwanza kabisa kujaribu kutengeneza pesa, utafundishwa kuanzia msingi hadi kuwa uhuru.

Sina muda mwingi. Bado naweza kujiunga?

Ndiyo.

Mbinu tunazofundisha zimeundwa ili uweze kuzitekeleza kwa haraka. Unachohitaji ni angalau dakika 30 kwa siku kujifunza na kutekeleza kile ulichojifunza.

Huhitaji kuwa na siku nzima. Kinachohitajika ni consistency.

Ninaishi nchi nyingine. Je, hilo ni tatizo?

Hapana kabisa!

Ndani ya Freedom Inner Circle tunafundisha namna ya kutengeneza kipato kupitia mtandao, hivyo haijalishi unaishi nchi gani.

Location yako inaweza kubadilisha tu aina ya pesa unayolipwa lakini fursa unazoweza kufikia ni za kimataifa.

Global income. Popote ulipo.

Je, nikipata membership nitapata access ya mafunzo yote?

Ndiyo!

Ndiyo, mara tu unapojiunga na Freedom Inner Circle , unapata access ya kozi zetu zote papo hapo. Pia utapata access ya live calls zetu za saa 24/7 pamoja na nafasi ya kujenga connection na watu wengine ndani ya online community yetu.

Kuna watu ndani ya community ambao wanapiga pesa sasa hivi! Kuna live call inaendelea hata muda huu! Jiunge nao leo na uanze safari yako ya kuelekea uhuru wa kifedha mara moja.

Bado una maswali?

Jaza form hapa chini, na timu yetu itawasiliana nawe.