Skip to product information
📘SIRI 69 ZA KUPATA PESA

📘SIRI 69 ZA KUPATA PESA

50,000.00 TZS

Mwongozo wa Kuacha Umaskini na Kujenga Uhuru wa Kifedha

Hiki si kitabu cha ndoto. Hiki ni ramani ya vitendo.

“Siri 69 za Kupata Pesa” ni mwongozo wa moja kwa moja kwa mtu anayetaka kubadilisha maisha yake kifedha kuanzia mtazamo wa pesa, kujenga ujuzi unaolipa, hadi kuanzisha mifumo ya kipato na kufikiri kama mmiliki, si mtumwa wa mshahara.

Ndani ya kurasa hizi utajifunza:

  • Kwa nini kuonekana (attention) ni pesa

  • Jinsi ya kubadilisha simu yako kuwa mashine ya mapato

  • Namna ya kujenga kipato cha kila siku, si kusubiri mshahara

  • Kwa nini matatizo ni fursa za pesa

  • Jinsi ya kutoza bei ya juu bila kuogopa

  • Jinsi ya kujenga mifumo ya mauzo, si kutegemea bahati

  • Namna ya kufikiri kama mmiliki wa biashara, si mfanyakazi

Kitabu hiki kinakuchochea uache wastani, uache kuogopa pesa, na uanze kuielewa. Kila “Siri” ni somo fupi, kali, na la vitendo lililoandaliwa kukusukuma kuchukua hatua, si kusoma tu.

🔑 Unapata nini?

  • Mabadiliko ya mtazamo kuhusu pesa

  • Mfumo wa kufikiri wa tajiri

  • Mwongozo wa vitendo wa kuanza leo

  • Nguvu ya kujenga uhuru wa muda, mahali, na kifedha

Hiki ni kitabu cha mtu anayesema:
“Umaskini unaishia kwangu.”

Usifunge kitabu.
Funga umaskini.

You may also like